SLOW BUT SURE ft. Darassa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
SLOW BUT SURE ft. Darassa - Maili Mbili
...
agweee eeeh chili baw mmh...
.....
.....
...
wananiita toshi, osh osh
kichwa Moshi, hazintoshi
me ni yule wanted most,
kwenye game nishakuwa ghost,
kwenye page nishaweka post,
ukifata location lost,
ukigusa umeme ni short,
.........hu
kichwa moto, bongo joto,
kipara ngoto, kwenye game nishakuwa kiboko,
namsingi na nna soko, na masela na watoto,
take photo, Kila Chocho,
Kila docho,Kila oooo,
gushgush njoo upotee,wakuboostboost njoo ugongee,
we nuksinuksi usinsogelee
we puss puss usinchekee
you cockroach, ndo faaak women,
sinaga ukabila Wala Dini, sinaga utaila hapa Mjini,
kama Nini Nini, kama nyama maini,
natua kama ziiii, navunja kamatiii,
nakamatia kati, mchezo nauvulia na shart,
Leo tunavumja makabati,watu wanataka kupart
juu chini mpaka katkat,Ganda la kati jbw eeeh
SLOW BUT SURE MWENDO WA KOBE X3