DHAMBI ZAKE Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
DHAMBI ZAKE - Hidden Bway_
...
….
Hivi na uzuri huu niwesingle
Sintakuwa naumwa
Ndio Mpenzi ninae mtazamaji
Kula chumaaa
Na tena anakituu atafika mbali shemeji yenu
Kasoma Cuba
Ninajua mapenzi fundi hatari
Nikishika shingo Kama rubaa
Jamani babeee ajengewe sanamu
Ikawe fundisho kwa vizazi
Ma
Ex nawasalimu salamu
kama nawakera Kumradhii
Ivi kumbe mapenzi matamu
Halafu hamsemi hamweki wazi
Wino nimeumaliza kalam
Najituliza kwake huyu baazazi
Na dhambi zake apewee Ex
Na baby anapepo yake
So kwa anavyonipetii
~Acheni nijinenepee~
Nasema na dhambi zakee apewe Ex
Na baby anapepo yake so kwa anavyonipeti
Aaha jamni nkivumbi leo
Ooh jamani nikivumbi leo
Vinavyo ninenepesha ni mapenzi yake
Sio ubwabwa wala ugali sukari
Akizidisha rahaa zake napata magonjwa
Presha sukarii
Mkubwa mzima nadeka utadhani mtotoo
Sijatekenywa nacheka Huba lipo motoo
Jamani ajengewe sanam
Ikawe fundisho kwa vizazi
Ma Ex
Nawasalim salamu
Kama nawakera kumradhi