Vimodo ft. Roma Mkatoliki & Mkwawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Vimodo ft. Roma Mkatoliki & Mkwawa - SMG Family
...
S.M.G.
Smg
Watu wanapenda vimodo...vimodo ... vimodo ... vimodo
Nyama flani sio nyingiii... ( vimodo... vimodo... vimodo. )
Kishepu flani cha kimisii..( vimodo... vimodo... vimodo..)
Umbo flavian matata ...(vimodo... vimodo... vimodo )
Shepu flani kama la zuchu... (vimodo...vimodo... vimodo...)
Ati avae nini asipendeze....
Na usiombe macho alilegeze...
Anavyo ringa anapenda adekezwe...
Yani fundi mahaba usiulize.
Ukimbeba anabebekaa.... ( ana bebekaa)
Me napendaga vile anadekaa...( anavyo dekaa)
Kamwendo kama ana dondokaa.. ( ana dondokaa)
Nyama ipo karibu na mfupa.. ( yani tamuu)
Watu wanapenda vimodo...vimodo..vimodo
Nyama flani sio nyingii... vimodo..vimodo..vimodo
Kishepu flani cha kimisii..( vimodo..vimodo..vimodo)
Umbo flavian matata ...(vimodo..vimodo..vimodo)
Shepu flani kama la zuchu... (vimodo...vimodo...vimodo)
Kamwili kake kipotabo ni mifupa tu
Kitandani tukikaa doh anajitupa juu
Namwita honey adoado ananiita bou
Kifuani kimodo kanichora tatoo
Anakashepu ka daynaa,,,
mpole ka nyange,,,
Sura ka zaynaa,,,,
kifua ka mangee
Yupo sexy ajapambe sio kesi
Ata mumchambe ni mwepesi
Kamshange nikipress tu pambe
Kiuno chembamba na amekijaza shanga
Juu ya kitanda usiombe akipiga mzmsamba
Yani hana mbambamba
Na ndo mana natamba
Me ni soldier ila kwake nimevua magwanda
Watu wanapenda vimodo ... (vimodo...vimodo...vimodo)
Nyama flani sio nyingiii...(vimodo ... vimodo.... vimodo )
Kishepu flani cha kimisii .... (vimodo... vimodo ... vimodo)
Umbo flavian matata.... (vimodo ... vimodo... vimodo )
Shepu flani kama la zuchu.... (vimodo... vimodo ... vimodo)
S.M.G