Mia Cara Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Verse_01
Mia Cara,
senora senorita,
Aah!!
Umenzoesha vibaya,
Sunna Umezisha,
Aaah!!
Wataka beach gani Matema Coco,
Wanga Taabani wanaokota makopo,
Ananipenda nami niko kwa msoto,
Nikikucheat mama Nichapwe viboko,
Sie waselaaaa (Sie wasela)
Tupo kisela (Weee kisela)
Mkimwonga helaa (Enheee)...
Mi natoka nae tunaenda kula bata za kyela….
Ayiiih!!
Kwanza kabisaa ye ni fundi,
Mpaka nshaanza hisi huyu mtoto ni kungwi,(Olaaah)..
Niko kujifunza masumbwi,
Apa sing'oki sumaku niko kwa gundi…(Olalaah)
Ni sisi - kama sisi af hatushikiki,
Watuta -bili nini na hatutabiliki,
Ameni -fit fit bed makwichi kwichi,
Tamu ni -pipi pipi ye mwenye kiti kiti,
Hook:
Oooh Cara,Cara Cara Cara
Mia Cara,(Kadogo kabichii)
Cara,(Mikiki mikiki)
Cara (Chumvini sipiti)
Cara (Aaaaah!!)...
Verse_02
Usizidishe Mapenzi Mama Ntashindwa kula,
Na vile uko blessed ilo Body Mzuri sura,
Mungu fundi bwana anajuaaa,
Maana so kwa kupangilia Huku yaani kakomoa,
Este tipo mujer Que nunca veo,
Humo ndo Nataka Kupita leo,
Huchoshi kama nakwona kwa Video,
Nyota ka zote nakuvishaa vyeoo,
Lá bumba!!
Sie waselaaaa (Sie wasela)
Tupo kisela (Weee kisela)
Mkimwonga helaa (Enheee)...
Mi natoka nae tunaenda kula bata za kyela….
Ayiiih
Kwanza kabisaa ye ni fundi,
Mpaka nshaanza hisi huyu mtoto ni kungwi,(Olaaah)..
Niko kujifunza masumbwi,
Apa sing'oki sumaku niko kwa gundi…(Olalaah)
Ni sisi - kama sisi af hatushikiki,
Watuta -bili nini na hatutabiliki,
Ameni -fit fit bed makwichi kwichi,
Tamu ni -pipi pipi ye mwenye kiti kiti,
Hook:
Oooh Cara Cara Cara Cara
Mia Cara (Kadogo kabichii)
Cara (Mikiki mikiki)
Cara (Chumvini sipiti)
Cara (Aaaaah!!)...