Pusana Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Pusa Pusana
Pusa Pusana
Bébé buka mbeto unipe kajoto kitandani
Japo ni kaloko kana juwa mambo ya chumbani
Kana ni peleka kushoto kulia kitandani
Naanza tetemeka Mapigo ya moyo ina enda kasi
Uhm uhm mtoto kwake yeye shakwama
Namu patiya ndizi banana Tena leo zaidi ya jana
Minaye twa shuka twa panda nyoka kwenye pango nazama natereza bila ku kwama
Uhm uhm Pusana Pusana yaka obina pembeni na nga
Mema nga mema nga nazala mwana ozala maman
Bala nga bala nga zala maman bana na nga
Linga nga linga nga mina we mpaka kiyama
Uhm chofa chofa karibu yangu chofa
Usi ende mbali chofa karibu yangu chofa
Uhm uhm chofa chofa karibu yng chofa usi ende mbali chofa karibu yangu chofa ah ah chofa oh yeah yeah chofa
Pusa Pusana
Pusa Pusana
Kwako nime wekeza kila kitu changu
Mama una control maisha yng una tawala akili yangu
Kwako nime wekeza kila kitu changu
Mama una control maisha yangu we ndo mboni ya dicho langu
Moyo wa chuma mungu ka ninyima mwenziyo
Sina ujanja nime nasa kwako
Baby uki ondoka nta dead kwako sijiwezi
I beg you please don’t leave me
Uhm uhm Pusana Pusana yaka obina pembeni na nga
Mema nga mema nga nazala mwana ozala maman
Bala nga bala nga zala maman bana na nga
Linga nga linga nga mina we mpaka kiyama
Uhm chofa chofa karibu yangu chofa
Usi ende mbali chofa karibu yangu chofa
Uhm uhm chofa chofa karibu yng chofa usi ende mbali chofa karibu yangu chofa ah ah chofa oh yeah yeah chofa
Pusa Pusana
Pusa Pusana
Harmond sefu young jiri Casmy Bastado yeah
Alvin alliance hum hum banza seba dogo dogo hum mon pote yeah young is shine