Unastahili Kuabudiwa Cover Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Unastahili Kuabudiwa Cover - Lulu Fungo
...
Mungu wetu tunakusifu,,
Mungu wetu twakuinua,,
yale uyatendayo makuu mnoo,,
Fadhili zako za milelee,,
Haufananishwi na chochote,,
niwe uliye mwanzo,, tena ni mwisho.
Mungu wetu tunakusifu,,
Mungu wetu twakuinua,,
yale uyatendayo makuu mnoo,,
Fadhili zako za milelee,,
Haufananishwi na chochote,,
niwe uliye mwanzo,, tena ni mwisho.
Unastahili yesu kuabudiwaa,,
unastahili yesu kuinuliwaa,,
unastahili yesu kusujudiwaa,,
aaaaaaaaahh,, unastahilii,,
unastahili yesu kuinuliwaa,,
unastahili yesu kuabudiwaa,,
unastahili yesu kusujudiwaa,,
aaaaaaaaahh,, unastahilii,, x5