Mtego Huo ft. Chino Kidd Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mtego Huo ft. Chino Kidd - Makomando
...
Hahaa
Matatizo yako usituletee sisi wewe
Kila mtu atambe na chake
Hahaa si sio watu wamchezo mchezo wewe
Ale chinno chinno chinno chinno chino
Kula chuma hichoo
akikata analala me presha inapanda
Akikata analala me presha inapanda
Panda panda panda panda eeh
Aah niletee hapo(apo sasa)subili hapo niletee hapo eeh hapo hapo hapo
Kama unalinga linga linga tukuone
Kama unavimba vimba vimba tukuone
Kama unatamba tamba tamba tukuone
Kama una susa susa susa tukuonee
Ndimu kama mandii mwisho wa siku kalewa mbwiii
Zii kazima ziii kaukosa mzigo zii
Ndim kama mandii
Zii kazima zii (ziii)
(Watu wooyo wooyooo)
Mwanaume gani huumizi kichwa
Me ndo mkali wa misimu yote
Utanambia nini wewee kwenda ukoo
Kama kudanga lahisi danga wewee sasa
(Neimaaa,kiluwaaa piii)
Ukiniona niko bench mtego huoo
Aah si ulisema nimepotea mbona chuma chumani
Mala chinno unakosea mbona mgoma uwanjanii
Morogoro natokea me sio mjomba nchumali we nchumalii we nchumali jomba chumali
Aaish haya kata mizizi kataaa(kataa)kata kata kata aah posh kata
Ukipanda ubaya na kata(kata)kata oh bway kata kata kata aah papy kata
Nimeokota(kidudee)
Jamani changu(kidudee)
Nimeokota(kidudee)
Jamani changu(kidudee)
Nimeokotaa(kidudee)jamani changu(kidudee)
Yeesaa yeesaa yeesaa(yaaaah)
Yeesaa yeesaa yeesaa(yaaah)
Yeesaa yeesaa yeesaa(yaaah)
Yeesaa yeesaa yeesa(yaaaah)
Cutting master(nelly the model)
Kama unalinga linga linga tukuone
Kama unavimba vimba vimba tukuone
Kama unatamba tamba tamba tukuone
Kama una susa susa susa tukuone
(Mucky)
Fredy waynee too much power
By@____Brian 0766890099