Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2023

Lyrics

It's Frank Eden

Moyo China (yaaah)

Home town Records (king Julian on the beat)

Moyo wangu ushakuwa China,Visa kwangu ndo kama winner

Moyo wangu ushakuwa China, ndo kama winner

Sijui nifanyeje?

Moyo wangu ushakuwa China,Visa kwangu ndo kama winner

Moyo wangu ushakuwa China, ndo kama winner

Sijui nifanyeje?

Nilikuandama moyo wangu ukaugangama

Sina changu bora niende kwa mama, mzuri wangu sijamwona kamaa.

Mapenzi kwangu yamefanya nikonde, Uzuri wako nikapigwa makonde

Sijamwona mamako Bi. Chonde, Mbele ya umati nionekane mnyonge.

Ulinifanyia mabezo, ukawa kikwazo, ndani ya mchezo

Ukataraji na tuzo, kwa hayo vituko, mwenyewe kicheko

Mmmh

Kama mapenzi porojo, basi kwangu ni pojo au niwe kojojo

Kama mapenzi porojo, basi kwangu ni pojo au niwe kojojo

Moyo wangu ushakuwa China,Visa kwangu ndo kama winner

Moyo wangu ushakuwa China, ndo kama winner

Sijui nifanyeje?

Moyo wangu ushakuwa China,Visa kwangu ndo kama winner

Moyo wangu ushakuwa China, ndo kama winner

Sijui nifanyeje?

Hali yangu sio shwari

Ulijifanya machachari

Ukanipa mistari ya kuniweka mortuary

Haukujali yangu hali

Ukaniwacha me mbali japokuwa sina mali

Mmmh

Ukaninyima na utamu wa dafu siri ya penzi letu ukatoboa

Kwenye penzi ukacheza rafu kama nafaka ukanikoboa

Na ulimi silambi sakafu labda waniue moyo wakutoa

Haki ya Mungu nalala bafu kwenye mapenzi ukinikoboa

Moyo wangu ushakuwa China,Visa kwangu ndo kama winner

Moyo wangu ushakuwa China, ndo kama winner

Sijui nifanyeje?

Moyo wangu ushakuwa China,Visa kwangu ndo kama winner

Moyo wangu ushakuwa China, ndo kama winner

Sijui nifanyeje?

Kama mapenzi safari, basi yangu ipo mbali

Sijui ndafika lini

Uniepushe jalali, japo kwa imani

Nifike kwa makini

Ukaninyima na utamu wa dafu siri ya penzi letu ukatoboa

Kwenye penzi ukacheza rafu kama nafaka ukanikoboa

Na ulimi silambi sakafu labda waniue moyo wakutoa

Haki ya Mungu nalala bafu kwenye mapenzi ukinikoboa

Eeh eeh eeeh!

Moyo wangu ushakuwa China (ushakuwa china)

Visa kwangu ndo kama winner (ndo kama winner)

Moyo wangu ushakuwa China(eeeh)

ndo kama winner

Sijui nifanyeje?

Moyo wangu ushakuwa China (ushakuwa china)

Visa kwangu ndo kama winner(ndo kama winner)

Moyo wangu ushakuwa China (eeh)

End

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status