Love story Lyrics
- Genre:Rhumba
- Year of Release:2023
Lyrics
Habari Zako nimezipata
Hivyo ndivyo tuliachana
na hapo Juzi ukanitukana
ukanionyesha madrama
wewe si mke wangu tena sio
umeniumiza mwenzio
najuta kutotega sikio
moyo ukaupeleka mbio
Ukanicheat na muuzaji
wa Duka Bwana Mkunaji
Kipato changu cha Uuzaji
ukaniona Kaa sifai
Alikuhonga na Pipi Ukasahau
ulikua Bibi
Nikasema Huambiliki
nijuu ulitaka Vingi
Chorus
Bora nie Bora Niende
Nina dhiki Juu yako Wewe
Nisee Nisepe
Inabidii Nielewe
Bora nie Bora Niende
Nina dhiki Juu yako Wewe
Nisee Nisepe
Inabidii Nielewe
( Nikahuzunika eh ukanidhalilisha eh
ukanitenganisha eh ukanisalimisha
Hukuniacha nikae kwenye penzi mamae
Nikakosa number eh Ukanilinganisha)
Mmhhh Mhhhh
Mmhhh Mhhh
Verse 2
Baada ya Miezi Sita Ukashika Mimba
Na Duka likafilisika
Nikatamani Kumpura mawe
Muuzaji Mbona Hafi Nawe
Ila Sina Muda
Sina Muda
Sina Muda
Na Wala Siezi Kukufanya Punda
Huu Muda
Najiuguza
Ahh Enda Na huko
Ukaolewe
Mi nimfugaji Sisongi Mbele
Siezi Kukulisha Kama Ngedere
kama Umetemwa
Sikutaki Wewe
Chorus
Bora nie Bora Niende
Nina dhiki Juu yako Wewe
Nisee Nisepe
Inabidii Nielewe
Bora nie Bora Niende
Nina dhiki Juu yako Wewe
Nisee Nisepe
Inabidii Nielewe
Mmh! mh!
mh! mh!
mh! mh!
Mmhhh Mhhhh
Mmhhh Mhhh