Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2023

Lyrics

Paradise (feat. H girl baby) - Bless Tz

...

sisemi una mapenzi mengi..Ila me kwako sijiwezi tuu.,.. kikubwa kwamba ushanielewa aaah..

na ndo maana sitaki uende mbali utaniumiza tuu... kukupata ni ngekewaa aah/

hisia za moyo zimezama kwako tu... na mnataka ubaki na me ukiondoka nitakufa tu.,...

umeshaingiaa kwenye moyoo.. wengine wazushi tu.. Mimi kwako Sina Jambo najiona Niko paradise.......

Niko paradise...... ntakupenda milele

Niko paradise..... sitompenda mwingine

Niko paradise.... waache wapige kelee

niko paradise... sitoenda kwengine

Niko paradise...... ntakupenda milele

Niko paradise..... sitompenda mwingine

Niko paradise.... waache wapige kelee

Niko paradise.... mama mama maaah mama ma aaah aaah

ooooh hoooh mmmmmh mmmmmh yeeeeah.,

katika kitu sijawahi kujutia ni kukupata wewe .... wee mfalme me Mimi malkia , Nakupenda mwenyewe, naona umenifungulia njiaaa.....

maisha yangu ni wewe...na siku ukija nipoteaaa ..nitaumia nielewe.....

wee ndo my king taji ushavikwa.....

uwepo wako me ninafarijika aaah...

katika watu wanaoenjoy na mape...eh eh eeeh

naweza kusema me ni number moja

walah kukuacha siwe eh eh eeeh..

sijui umenipa Nini ama umeniroga...

umeniroga babaaa

umeniroga hiii hiiiiiii....

hisia za moyo zimezama kwako tu... na mnataka ubaki na me ukiondoka nitakufa tu.,...

umeshaingiaa kwenye moyoo.. wengine wazushi tu.. Mimi kwako Sina Jambo najiona Niko paraduuuh uuuh mmmmh

Niko paradise.....

Niko paradise...... ntakupenda milele

Niko paradise..... sitompenda mwingine

Niko paradise.... waache wapige kelee

niko paradise... sitoenda kwengine

Niko paradise...... ntakupenda milele

Niko paradise..... sitompenda mwingine

Niko paradise.... waache wapige kelee

Niko paradise.... mama mama maaah mama ma aaah aaah

wee ndo my king taji ushavikwa.....

uwepo wako me ninafarijika aaah...

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status