Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

NAENJOY (feat. Ben Cardo) - Andrew Mangula

...

instrument

Naenjoy, Naenjoy

kwakooh, kwako nipo salama ×2

Nyakati zote upo pamoja nami,

Hata shidani nakuona pendo lako halibadiriki Kwangu

iwegizaa! mbele sioni, Kwenye maradhi napona

Hakika wewe ni BWANA wangu

Wakati mwingine nimepewa na naufurahia

ayaya!

nafasi nyingine nimepewa na naifurahia ahee!

kanipa mamlaka yakukanyaga nge na nyoka nakwake Mimi Sina masahaka

(Naenjoy)

kanipa mamlaka yakukanyaga nge na nyoka nakwake Mimi Sina masahaka Naenjoy

ehh Naenjoy ehh

(chorus)

Naenjoy, Naenjoy

kwakooh, kwako nipo salama ×3

instrument

mahangaiko Yangu kutangatanga Kwangu kumbeeh

jicho lako lanitazama

ulemzigo Wangu ulokua mzito na kulemewa na nyingi changamoto ulinondolea na kusema mwanangu pumzika ahh ahhe

ukasema!

nilayangu ni laini

mzigo wangu nimwepesi

yabidi nikufuate wewe yabidi nikufuate

ukasemaah

nilayangu ni laini

mzigo wangu nimwepesi

yabidi nikufuate wewe yabidi nikufuate

umeondoa kichwani stress

ukanipa faith

ukaniweka fresh

ukaniweka niwe kinala natena niwe imala

uhuhuh ahh!

(chorus)

Naenjoy, Naenjoy

kwakooh, kwako nipo salama ×3

kilakitu me napata Mambo yangu yapo super super

instrument

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status