Shida Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2023
Lyrics
SHIDA
Mmmmmmhm
Ooo oh shida
Ooo oh shida
Ooo oh shida
Mmmmmmhm
More
We ni Nani mwenye Hitaji la karaha
Hauitaji hata chembe ya Furaha
Rafiki zako ni matatizo machozi
Na wala katu hauwagi mkombozi
Nawe Mwenzangu una undugu na ujamaa
Na Adui zangu kifo na njaa
Na ukifika Unafika na majonzi iii
Vogah
Wapo marafiki wengi niliowachagua
Ila siyo wewe wakufanya nalia
Toka enzi za babu umemugang’ania
Mpaka mi kitukuu wataka kuniua
Asa acha acha
Ninywe nilewe niserebuke
Nikusahau shida
Asa acha acha
Kaa mbali na mimi
Usije leta msiba
Shida oooh Shida oooh Shida bwana
Shida umenikuza ng’ari mdogo sana
Shida oooh Shida oooh shida mama
Shida umenifunza yaliyoshindikana
Nanatamani niende mbari nijifiche eh
Lakini nitajificha wapi Oo oh
Unafika si usiku mchana kweupe eh
Na walio wengi unawavunja mioyo
Unakosa huruma shida
Jina lako lavuma shida
Hata nikijituma Shida
Lakini kwangu bado unavuma Yooo!
Wapo marafiki wengi niliowachagua
Ila siyo wewe wakufanya nalia
Toka enzi za babu umemugang’ania
Mpaka mi kitukuu wataka kuniua
Asa acha acha
Ninywe nilewe niserebuke
Nikusahau shida
Asa acha acha
Kaa mbali na mimi
Usije leta msiba
Shida oooh Shida oooh Shida bwana
Shida umenikuza ng’ari mdogo sana
Shida oooh Shida. Oooh shida mama
Shida umenifunza yaliyoshindikana