Niachane Nawe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Niachane Nawe - Kaizah 006
...
(Intro)
Oooh ni Kaizah tena
Mapenzi yanaumiza yanatesa balaa
Ayaya ni Kaizah tena
Mapenzi yanaumiza yanatesa balaa
(Verse 1)
Halali yangu leo kupata kesho sina
Na ndo maana ata hujali ninavyosema
Angalau basi ungesema mapema
Huridhiki nami mwendo kuchechemea
Nakumbuka walosema yanaumiza
Haya mapenzi hawakudanganyia
Kuachana nawe mi sikudhania
Sababu ndoto zile tulizopania
Kumbe we we mwana bandia
We jinsi kamoyo nilikupatia
Eti nani, nini alikwambia?
Ata mi aliniambia mbona nikapuzia
(Hook)
Sababu nakupenda wee ila
Nahisi naforce labda basi ndo maana
Iyo yote makusudi ili mi nikose furaha
Unanicheza poka copa cabana
Walai ata siamini mapenzi masinemaa
(Chorus)
Naona bora niachane na wewe
Naona bora niachane na wewe
Tambua si kwa ubaya ila acha niachane na wewe
Naona bora niachane na wewe
(Verse 2)
Nilivyokuona wangu wangu wa ndoto
Kumbe ndoto inabaki kua ndoto, tu
Ulompost makopa kopa foto, iyee
Ilimuradi wangu mtima changamoto
Au ndo washakuroga pemba
Haya ndoko fanya unavyopenda, we
Si kwa ubaya naivunja agenda
Nishachoka maumivu ingawa nlikupenda, we
(Hook)
Sababu nakupenda wee ila
Nahisi naforce labda basi ndo maana
Iyo yote makusudi ili mi nikose furaha
Unanicheza poka copa cabana
Walai ata siamini mapenzi masinemaa
(Chorus)
Naona bora niachane na wewe
Naona bora niachane na wewe
Tambua si kwa ubaya ila acha niachane na wewe
Naona bora niachane na wewe
(Outro)
Nimechokaa, na wewe
Naomba niachane na wewe
Naomba niachane na wewe
Aii niachane na wewe
aah niachane, na wewe
aah niachane na wewe
ooh niachane na wewe