Nimezama Taarab Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimezama Taarab - Queen Aisha
...
Queen Aisha
usifosi mapenzii, ikiwa hautakiwi
asona wew mapenzi, na Mimi nimetuliaa nalinda yangu thamani
Nimejikusuru ndoaa, ili nikupe thamani
ukilia nilie nawe, ukicheka tucheke wote,
isifike siku nilizi sitokuacha kisa huna chochote
hivo vi emoji vya makopa kopa naviposti vyote insta, Leo mchana kweupe wanga wako macho wamekosa pa kupita
raha ya penzi la dhati mpendane sawa sawa
sio mwengine hataki mwengine afanywe chawa
sio penzi la kudhihaki moyoni halipo sawa
penzi la utanashati daima hua ni raha
dhumuni la kunioa upate na utulivu kipenzi
basi usitie doaa, utanitia aibu laazizi
tuzidishe sana duaa,
aipe nuru yarabbi mwenyezi
hekima subra pia tulinawirishe penzi
hivo vi emoji vya makopa kopa navipost vyote insta, Leo mchana kweupe wanga wako macho wamekosa pa kupita
wana nilipofikia (Mimi nimezama)
moyo wangu wa maua(penzi tamu kama shawarma)
kwako nimetulia(Mimi nimezama)
moyo wangu wa maua(penzi tamu kama shawarma)
nimezama sitaki kuokolewa
nampenda yeye mwenyew anajua
tunavyopendana penzi la nawiri sana
huyu ndio mjanja sana aaah aana maan
nimezama sitaki kuokolewa
nampenda yeye mwenyew anajua
mitihani yote naivumilia
penzi simpi nusu lote nammaliziaa
nimezama sitaki kuokolewa
nampenda yeye mwenyew anajua
............