Nikumbushe ft. Godfrey Steven Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Baba, baba Yo!
Nakuita Bwana, O Baba! R
Hali yangu mbaya, umauti/uti siwezi kuendelea kikaragosi
Maneno mengi nimeshaambiwa, yule ziro, sifuri kabisa
Baba nahitaji nguvu zako
Peke yangu nitashindwa
Njia ndefu na ina miba sana
Akili yangu ikichoka, namba baba nikumbushe
Wewe ni Baba tu, hutoniacha tu
Nikumbushe eeh, nikumbushe
Nikumbushe eeh, nikumbushe baba
Nikumbushe eeh wewe ni Baba
Nikumbushe eeh, nikumbushe
Yo Baba we, yo baba we/ Baa Baba we...
Wakati wote nakuita wewe tu
Wewe tu (Kiitikio)
Nyakati zote kuwa mfariji wangu
Hakuna cha kunitenga na upendo wako
Iwe ni shida, dhiki, magonjwa, hayaniwezi tu
Akili yangu ikichoka, naomba nikumbushe
Wewe ni baba tuuu…
Wewe ni baba tuuu…
Hutoniacha tuuu…
Hutoniacha tuuu (Kiitikio)
Nikumbushe eeh, nikumbushe
Nikumbushe eeh, nikumbushe baba (Kiitikio)
Akili ikifika mwisho, nikumbushe eeh, nikumbushe
Nikumbushe kwamba wewe ndio kila kitu
Nikumbushe eeh, nikumbushe
Eh Bwana wa mabwana ni Wewe
Nikumbushe eeh, nikumbushe (
Nikumbushe kwamba wewe ni Mungu
Nilipoamkia Wewe ulipajua eh Baba
Akili ilipofika mwisho, ulianzanipa nguvu
Hilo giza ulionalo mama ni la muda tu
Kaza imani, nuru inakuja
Huo mwisho uuonao, sio kweli baba. Fikiria vema huo ndio mwanzo wako.
Ni jambo gani lolote ambalo Wewe huwezitimiza?
Hakuna lolote lililo gumu kwako wewe
Sehemu ya tatu: (hapa mnaimba wote kwa kumalizia)
Akili yangu ikichoka, naomba Baba nikumbushe… Wewe ni Baba tu, huto niacha tu…
Nikumbushe eeh, nikumbushe.
Nikumbushe eeh, nikumbushe baba (Kiitikio)
Nikumbushe kwamba wewe ni Mungu. R
Nikumbushe eeh, nikumbushe (Kiitikio)
Kiongozi wa safari yangu
Nikumbushe eeh, nikumbushe (Kiitikio)