Zifiukuki Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Zijue fursa imarisha uchumi
Kataa ukatili kazi iendee
Iiiih
Yeeh boystatzbaby
Neno ukatili
Limekuwa kero masikioni mwangu
Afya ya akili
Uwenda ndio chanzo cha kutenda maovu
Kuni ikiungua mwisho wake uwa jivu
Uwezi kaandani na usukume gari bovu
Wanaotenda mabaya ndio walimwengu
Tena hawana hofu hawa muogopi Mungu
Yeeh
Hizi mila za vijijini
Uleta shida kwa mabinti
Ushoga umekithiri
Wanaume ndio walawiti
Zijue fursa imarisha uchumi
Kataa ukatili kazi iendelee
Zijue fursa imarisha uchumi
Kataa ukatili kazi iendelee
Zifiukuki
Zifiukuki
Vitendo vya kubaka (pinga)
Rushwa ya ngono kwa kina dada (pinga)
Usimnyanyase msichana wa kazi
Mke usimnyime mume haki ya ndoa
Jamii ya itaji elimu kujifunza
Tukishirikiana tunaweza
Inatisha walemavu kuombaomba
Usimkatishe masomo
Kanyaga twende (twende)
Kwa pamoja twende (twende)
Tupinge ukatili kazi iendelee (tweende
Kanyaga twende (twende)
Kwa pamoja twende (twende)
Tupinge ukatili kazi iendelee
Zijue fursa imarisha uchumi
Kataa ukatili kazi iendelee
Zijue fursa imarisha uchumi
Kataa ukatili kazi iendelee
Zifiukuki
Zifiukuki
Raisi mama Samia (Pambana)
Mama Doroth Gwajima (Pambana)
Mama Grace Shauritana (Pambana)
Mwenyekiti wa Taifa (Pambana)
Mama Ummy mama (Pambana)
Mama Lora mama (Pambana)
Mama Jesca Ally (Pambana)
Mama Famsa (Pambana)
Boystar
Boystatzbaby
Simon Mwapagata C. E. O wa Fagdi