Niko nuruni Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Niko nuruni - Entujael msangi
...
miguu itaota sugu burebure
donda ndugu mtaugua bure
mwenzenu nalindwa usiku mchana
zigo la uchungu nimetupa kule
hukumu sioni mbele nimesafishwa
na damu ya Bwanaaa
miguu itaota sugu burebure
donda ndugu mtaugua bure
mwenzenu nalindwa usiku mchana
zigo la uchungu nimetupa kule
hukumu sioni mbele nimesafishwa
na damu ya Bwanaaa
(Wangu Yesu)
Kwenye giza nimeona mwanga
ushindi mbele yangu Sina hofu
mkeshe kwa waganga
yuko mtetezi wangu si dhaifuu
Kwenye giza nimeona mwanga
ushindi mbele yangu Sina hoofuu eee
mkeshe kwa waganga
yuko mtetezi wangu si dhaiiifuu
(Niko nuruni) Niko nuruni (ooh)mimi
siwezi ogopa giza
sioni la kuniumiza
Sipo gizani Mimi
baba yangu ananilinda
nawapa pole wanaoniwinda.
(Ooh) Niko nuruni (Niko nuruni) mimi
(siwezi ogopa giza) siwezi ogopa giza sioni la kuniumiza
Sipo gizani Mimi baba yangu ananilinda nawapa pole wanaoniwinda.
Giza mawe nyavu misumari
kamwe haitanasa miguu yangu
kwakua ndani yangu limo neno na nuru
yako kamwe hawatajisifu kwaajili yangu
hawataimba kamwe ameekoma
wala hawatapelekeana zawadi
maana Bwana amefanya kwangu
nitapita katikati yao
watakuja njia moja
watatawanyika kwa njia Saba
wale waliotumwa wanidhuru watalia
kama wazazi wa sisela
Niko nuruni Mimi
siwezi ogopa giza
sioni la kuniumiza
sipo gizani Mimi
baba yangu ananilinda
nawapa pole wanaoniwinda
Niko nuruni Mimi
siwezi ogopa giza
sioni la kuniumiza
sipo gizani Mimi
baba yangu ananilinda
nawapa pole wanaoniwinda
hawataniweeza
ayayayay
(beat)