Wauni wote peponi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Nakunywa pombe sawa ila nampenda mungu
Mi mkabaji sawa ila nampenda mungu
Mi mdangaji sawa ila nampenda mungu
Vyote nnavo fanya bado namu amini mungu tu
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi
Unaona yangu yako unayoni
Mchana mwema usiku ungoni
Mtu wa mungu kumbe shetani aaah
Dada ana danga alishe watoto
Baba ame sepa ame acha msoto
Maisha yame muelemea yoo
Msaada hakuna ndugu hakuna
wote wana mzomea hooh hooh hooh
wana mzomea hooh hooh
Lord forgive me for my sins Lord GOD
Lord forgive me for my sins Lord GOD yeah
Nakunywa pombe sawa ila nampenda mungu
Mi mkabaji sawa ila nampenda mungu
Mi mdangaji sawa ila nampenda mungu
Vyote nnavo fanya bado namu amini mungu tu
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Najua naenda kinyumbe mbaka na serikali yangu
Sipendi haya maisha ila ndio vile kula kwangu
Mtoto ana taka kula mama ana taka kula
Baba yupo kitandani hoi pia ana taka kula
Nisha fukuzwa kazi je wapi ntapata kula
Nikaona bora nikabe ili nipate kula
Lord forgive me for my sins Lord GOD
Lord forgive me for my sins Lord GOD yeah
Nakunywa pombe sawa ila nampenda mungu
Mi mkabaji sawa ila nampenda mungu
Mi mdangaji sawa ila nampenda mungu
Vyote nnavo fanya bado namu amini mungu tu
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)
Wauni wote peponi (peponi)
Wauni wote peponi (wewe)