Nina Uhakika Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nina Uhakika - MAGRETH JAMES
...
Nina uhakika, na Neno Lako,
Nina uhakika, na Jina lako,
Nina uhakika, na damu yako, ooh Bwana
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Nina uhakika na Neno Lako,
Nina uhakika na Jina Lako,
Nina uhakika na Damu yako, ooh Bwana
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Nina uhakika, na nguvu zako,
Nina uhakika, na neema yako, ooh
Nina uhakika, na pendo lako, ooh Bwana
Hujawahi shindwa, hata mara moja
(Ni kweli, Nina uhakika)
Nina uhakika, na Neno Lako,
Nina uhakika, na Jina lako,
Nina uhakika, na damu yako, ooh Bwana
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Nina uhakika, na Neno Lako,
Nina uhakika, na Jina lako,
Nina uhakika, na damu yako, ooh Bwana
Hujawahi shindwa, hata mara moja
(instrumentals)
Una lugha nzuri, laini na nyepesi,
Na Neno lako, ni ndio na hakika,
Nina uhakika, na Neno lako, ooh Bwana
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Una lugha nzuri, laini na nyepesi,
Na Neno lako, ni kweli na hakika,
Nina uhakika, na Neno lako, Bwana wangu
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Nina uhakika, na Neno Lako,
Nina uhakika, na Jina lako,
Nina uhakika, na damu yako, ooh Bwana
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Nina uhakika, na Neno Lako,
Nina uhakika, na Jina lako,
Nina uhakika, na damu yako, ooh Bwana
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Hujawahi shindwa, hata mara moja
Hujawahi shindwa, hata mara moja