Bado Nampenda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Bado Nampenda - Bony Mwaitege
...
........
(aah...amejishusha dhamani anahisi kama hana dhamani mbele yangu)×2
........
(amejikatia tamaa anahisi kama hana dhamani mbele yangu...Mimi na mama yake....)×2
..........
amejikatia tamaa anahisi kama hana dhamani mbele yangu....mimi na mama yake.
.........
aah...amejishusha dhamani anahisi kama hana dhamani mbele yangu mimi mzazi wake alinikosea sana.
...........
aah....aliondoka kwa dharau,matusi na kejeli akaondoka kaenda mbali
aah...akatumia mali zote kwa maisha ya anasa sasa ameishiwa kurudi anaogopa anabaki anateseka mwanangu haya
aah...naongea na nyinyi wasafiri mkienda,mkikutana na ye mwanangu....naongea na nyinyi wasafiri mkienda huko mkikutana na ye mwanangu mwambie ninampenda...mwambie bado nampenda...aah...mwambieni nampenda...mwanangu mwambieni nampenda arudi atabu...akitubu tu nitamsamehe...mwambieni nampenda hayaaa....
......chorus.......
(Bado nampenda....aeeee...mwambieni mi bado nampenda...aeeee...back nampenda...aaee...mwambieni mi bado nampenda( mwanangu bado)...mwambieni mi bado namoenda na nipo tayari kumsamehe...akitubu nitamsamehe)×2