Kucha ft. Pson Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Kucha ft. Pson - Samy Palila
...
Samy Palila ft Pson
...
Yeyeye Zu badman Zu (zuba)
...
Original Samboy
....
Leo mi nalala na njala
Kesho mi takurya kuku
Tatembea na nsupu ku milomo dunia inione
...
(Yeee)
Bunakucha
Natembelea mu makucha
Mapanda njia ya bwanakucha
Bashinionee
...
Oh! baba
Bale bale balisema miye sitaweza
Ona sasa apa naanza kuwa chofa
Bana nichukia
I’m the future, future, future eeh!
...
Life is no easy abuchi bunakucha
Nili lala pa mingalo lakini bunakucha eeeh!
Life is no easy abuchi bunakucha
Nili lalia makalo lakini bunakucha eeeh!
...
Leo mi nalala na njala
Kesho mi takurya kuku
Tatembea na nsupu ku milomo dunia inione (x2)
...
Father, Baba, Papa
Kule uko kama uko na makuta unitumie eee
(Unitumie eee)
Mungu akulaze mahali pema
Kama uko naona niko napanga uni hurumie
(Uni hurumie eee)
...
Life is no easy abuchi bunakucha
Nili lala pa mingalo lakini bunakucha eeeh!
Life is no easy abuchi bunakucha
Nili lalia makalo lakini bunakucha eeeh!
...
Usinione mi nasata sata
Ukazania niko bien
Nina positif energy
Energy energy
...
Usinione mi nacheka cheka
Ukazania niko bien
Mwenzako ni natosha stress
Origina original
~vibe~
Mo Song