Confirmed ft. Fathermoh, Unspoken Salaton & Odi Wa Murang'a Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Confirmed ft. Fathermoh, Unspoken Salaton & Odi Wa Murang'a - Joefes
...
Pakistan tunavuta mabidha
Tumesota hapa area na taki ya guitar
Side chick ameanza kuniita cheater
Sponsor actually bana tuma mita
Confirmed you have recieved
Wacha niende quarter
Recieved
Sikulangi mboga
Recieved
Napenda malight skin
Confirmed you have recieved
Wacha niende quarter
Recieved
Sikulangi mboga
Recieved
Napenda madark skin
Ring ring confirm umereceive
Fuliza kidogo ishanitoa kwa form
Uliza njeri alinishow anakuja home
Anadai fare kutoka kasa sina dooh
Hauna dooh
Na unadai kuteka shiro
Wakikuyu waupenda wababa wakona doh
Na after yako ni worse kushinda before
Iliamka akakuboo ikalala fooo fooo
Fofo harry ako na kitu 4 soo
Nakushow na mbogi yake yote inadai kuja show
Wanaume soo wote wanadai ticko
Oooh sina hiyo doh
Usichome hivo
Aah na sipendi hizo form
Mandume watatu wasichana wako
Confirmed Simu zote ziko off
Ahh tukunywe makonyolilo
Confirmed you have recieved
Wacha niende quarter
Recieved
Sikulangi mboga
Recieved
Napenda malight skin
Confirmed you have recieved
Wacha niende quarter
Recieved
Sikulangi mboga
Recieved
Napenda madark skin
Sawa
Sijui nifike Bei ya dema
Na pombe inaeza lika (liquor)
Nilisema,
Bora Kuna liquor Si tuna Kaka kakatika,
Manzi ni nganya tho na pesa naeza m-pickup
you have received
Kumbe pochi inaeza lipa?
Pesa kidogo mmh mmh very nice,(mmh)
Tuma pounds I get foolish Penny wise,,(mmh)
come slow!
Hunishiki bila dooh,
Kama hubanji ganji,
Si iyo ni tab na minimize
Minimize kapochie juu ya badae
Haezi chill na mbogi haina ice
Kama mali ni Bobby who am I
Walinipata na dobi kwa ya ndai
Nikiwasha lighter chain namchoma kwa macho
Nikiwasha ndai anadai tuende vasho
Ukiuliza gede anasema ilikua vako
Ka 10 over 10 na kalipata E mao
Confirmed you have recieved
Wacha niende quarter
Recieved
Sikulangi mboga
Recieved
Napenda malight skin
Confirmed you have recieved
Wacha niende quarter
Recieved
Sikulangi mboga
Recieved
Napenda madark skin
Sawa
Pakistan tunavuta mabidha
Tumesota hapa area na taki ya guitar
Side chick ameanza kuniita cheater
Sponsor actually bana tuma mita
Confirmed