Mapenzi Bandia Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mapenzi Bandia - Kush Boy
...
Kama mapenzi safari, basi yangu imekwisha hapa
Dunia simama nishuke, wapande wenye huba
Yanini kukesha kama mlinzi, naliaaa
ilikuwa halali unitese, sababu nilipinga uhalisia
Ya kwamba hukunipenda sana, mmmmhh
Hukunipenda mimi ulipenda pochi, aahaaaa
Kunijulia hali mpaka kuforce, aahaaaa
Kosa dogo tuu unalalamika, sanaaa
iyeyeyeyeeee, iiiiiiih mmmmh mmhh!
Nibora ninunue mapenzi, kuliko kujifanya sharkhan
kubembeleza tena siwezi, ni kucheka na nyan shambaniii
ooooh uuuooohh, yaliniumiza mapenzi
na tena ooooh uuuooohh, kuyaacha siwezi
Bora niwe na mapenzi bandia, tupendane leo kesho tusijuane
Bora niwe na mapenzi bandia, tupendane leo kesho tusijuane
Bora niwe na mapenzi bandia, tupendane leo kesho tusijuane
Bora niwe na mapenzi bandia, tupendane leo kesho tusijuane
kulilia mapenzi mi sitaki tena,
wapo nilo waenzi wakaniacha soremba,
hello dear ex popote ulipo,
moyon mwangu umeniachia jeraha
vile moyo wangu umeudhuru mpaka umezima,
umeniacha na macho yenye tamaa, kupenda chochote ntakacho kiona
kwani sina mapenzi ya dhati tena,
hata neno nakupenda pia nimelishusha thamani
linatumiwa na viruka njia na wenye penzi la dhati
iyeyeyeyeeee iiiiiiih mmmmh
Ni bora ninunue mapenzi, kuliko kujifanya sharkhan
kubembeleza tena siwezi, ni kucheka na nyani shambanii
ooooh uuuooohh yaliniumiza mapenzi
na tena ooooh uuuooohh kuyaacha siwezi
Bora niwe na mapenzi bandia, tupendane leo kesho tusijuane
Bora niwe na mapenzi bandia, tupendane leo kesho tusijuane
Bora niwe na mapenzi bandia, tupendane leo kesho tusijuane
Bora niwe na mapenzi bandia, tupendane leo kesho tusijuane
iyeyeyeyeeee
kush boy on the track