Namficha ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Namficha ft. Harmonize - Joozey
...
cough cough cough
yaw yaw
Mmmmmh eeeeeh
Anhaaa anhaaa
joozey onanananaa
aaaaah eeeeh
Mmmmmh cough
Tafadhali tafadhali
ka Uko na baby ifiche mbali
yani kuna wanaponda mali
basi wanamwaga madolali
eeeh yaaaah
wanaagiza wanaagiza dorime
kama una hela za mawazo nunua shamba ukalime
wanaagiza wanaagiza dorime taratibu na tungi la ofa usijelewa uzime
Oya dada ficha danga lako
sikuhizi mjini kila demu ana matako
na kama unabisha shauri yako
mmmmh inakaribia kula kwako
me wangu namficha
namficha kwapani
namficha namficha
namficha kwapani
eeeh namficha
namficha kwapani
baby wangu namficha
namficha kwapani
oooh aaaah eeeh
mmmh mmh