Wema Wa Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wema Wa Mungu - Joshua ngelendo
...
Nimejaribu eeh kujizuia nimeshidwa
Nimejaribu eeh kujizuia nimeshindwa
Maana Wema Maana mwema wako Mungu
Maana Wema Wema wako wanitosha
Nashangaa! Wema wako Baba
Mimi nashangaa! wema wako Yesu
Umezizunguka pandezote Baba ooh
Umenizunguka pandezote baba ooh
Huo wema wema Wako Bwana Umetuzukukaa
Kama mvua Masika Wema wako unashuka aaah
Kama mvua za masika wema unashuka
Wema wako Babaa aaah aaah aaah
Wema Wangu wapendwa umenizidi
Ndio maana mimi nifanyakazi ya Mungu Baba eeh
Wema wangu wapendwa umenizidi
ndio maana mimi nifanyakazi ya Mungu baba eeh
Matatizo yangu nayaweka pembeni
Shida zangu naziweka pembeni
Matatizo yangu nayaweka pembeni
Shida zangu naziweka pembeni
Wema wema aah wako Uko pale pale
jana na leo na hata milele
Mwemaaaaa
Wema wa Mungu wapendwa umenizidi
Ndio Maanaaa ooh
Ndio maana mimi ninafanya kazi ya Mungu Baba Eeh
Wema Wa Mungu wema wa Mungu eeeh
Wema wa Mungu wapendwa umenizidi
Ndio Maana aaah ya Mungu
Ndio Maana mimi ninafanya kazi ya Mungu baba eeh
Wema wa Mungu Nimeuona maishani mwangu ooh
Wema wa Mungu wapendwa Umenizidi
Ndio Maana aaah ya Mungu
Ndio maana mimi ninafanya kazi ya Mungu Baba eeeh
Wema wa Mungu umenizunguka mimi oooh
Wema Wa Mungu wa pendwa umenizidi
Ndio maanaa ya Mungu Baba
Ndio maaana mimi ninafanya kazi ya Mungu Baba eeh
Nitamusifu yeye Nitamwinua yeye tu Baba Yoo
Maana Amenitendea aaah!