Utawezana Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Utawezana - Ommywise
...
It ommywise.......
Mhhh mhhhh mh
Ivi kweli unanipenda❤️, au unaniongopeaaaa
Hautonitenda na hautonikimbia
Maana maisha yangu siwezificha
Nimagumu sana, nahofia ntakuabisha ukiniprereka kwa mama
We unakula unachotaka mi nakula nnachopata, hilo lanipa mashaka vipi nikijakuchaha
We unakula unachotaka mi nakula nnachopata beibee ilo lanipa mashaka mashaka
Ivi kweli utaweza?
Utawezana?x2 Utaaa?
Ivi kweli utawezana?
Utawezana ? x2 Utaaa?
..........….................
Tutawezana mi nawe..tutawezana Mina we tutawezana
Unapenda weekend Alafu mi ndo pesa sina, unapenda kutrend Alafu mi jina sina
On your birthday nikuhonge iphone,
Wakati mwenyewe nnakiswaswadu
Hali mbaya sina hami mia mfukoni na damu yangu sio mwarabu
Ivi kweli utavumilia shida, ivi kweli utalala usiposhiba, ivi kweli utakuwa Na mimi milele mpaka siku ntakaposhinda.......................
..............