Washaniponda Sana Lyrics
- Genre:Blues
- Year of Release:2023
Lyrics
Washaniponda Sana - Lavichunare
...
aiiiya aiyaa
washanipiga Mawe washanivungamaa
washanifanya kila kitu hivi waona
uliaapa ww Maa hutoniacha
ukaapa ww Kwa mola penzi Zina kukataa*2
Rojo inauma nionee huruma sijui nimpe ni huyu kimwana,Sina haya mbele Sina haya nyumaa .ay ay ay Roho yangu inaniuma
Na hivi unionavyo ni maumivu ni kweli inaniuma lakini Sina wivu , ah ah ah ah wananini Na mm iy iy iy wanifata Kwa Nini
washanipura sana hata hii ni nomaa, Roho zao za Yamani kuniuuwa eeh
washanipiga sana bado hawajakomaa
Na damu ZA nitoka hivi unaona aah
writer by tiffah