Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

Lyrics

Aaaah aaaah

CLEVERBOY


EEEH UNAEMPENDA AKIJIVURUGA

WEWE MUACHE AENDE

AKADANGE-DANGE AYATAFUTE

HAYO MENGI

TENA AKIRUDI, USIMUACHE AENDE

HUENDA NI BAHATI

YA JANGWANI MTENDE

WAPI MAHABA MAPENZI YAMECHANGANYIKIWA

WANAO DANGA-DANGA

WAPENI MAZIWA

KAMA KUONDOKA AMEONDOKA

WANINI KU_HOOKIWA.

MMMH MAPENZI JAMANI UKIWA


PENDWA

UNAPOPENDWA PENDEKA

PENDWA

UNAPOPENDWA PENDEKA (DADA)

PENDWA

UNAPOPENDWA PENDEKA

PENDWA

UNAPOPENDWA PENDEKA (KAKA)


AAAAH AAAAAH

MMMMMH MMMMMMH


KUNA HAJA GANI KUM_HACK?

KUNAHAJA GANI KU_SEARCH SMS?

KUNGALI NANI KAPIGA KWA SIMU ETI?

KAMA UAMINIFU HAKUNA

HAKUNA AWEZAYE KUTUNZA HAYO

BASI MWAMINI MWAMINI

JAPO MAPUNGUFU ANAYO

WAPI MAHABA MAPENZI YAMECHANGANYIKIWA

WANAO DANGA-DANGA

WAPENI MAZIWA

KAMA KUONDOKA AMEONDOKA

WANINI KU_HOOKIWA

MMMH MAPENZI JAMANI UKIWA


PENDWA

UNAPOPENDWA PENDEKA

PENDWA

UNAPOPENDWA PENDEKA (DADA)

PENDWA

UNAPOPENDWA PENDEKA

PENDWA

UNAPOPENDWA PENDEKA (KAKA)



....

..

WAPI MAHABA MAPENZI YAMECHANGANYIKIWA

WANAO DANGA-DANGA

WAPENI MAZIWA

KAMA KUONDOKA AMEONDOKA WANINI KU_HOOKIWA

MMH MAPENZI JAMANI...

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status