Nitamridhisha Lyrics
- Genre:Afrofusion
- Year of Release:2023
Lyrics
Nitamridhisha - Almond
...
.. .. ... ...
Hello, umeshindaje
Nikama yamepita siku nyingi
U Hali gani, wazazi, kichwani najazwa na vitu vingi
..
mmmh
siku nyingi si kula
tumekungojea na simu
wazazi nyumbani wanapiga swala
Hali yetu s'nadhifu
majirani all along
wamezidisha na wivu
twakesha kuswali Kila kukicha dawn
Yatusikilize mbingu aaaah. ..
si kola lenu Wala si la kwangu neither
ila
mipango yake nd'o maana ninasubiri
mmh. .
nishajaribu pande zote na mawaidha
ona
Kila kukicha nakesha nikifikiri
nd'o maana
[Sina chochote Cha kulisha Wana. .
na, nikijapata nitamridhisha mama
usichoke we zidi ng'ang'anaa
×2
Hivi dhiki reality
tujiombee mda na prosperity kazi
kazi kalamu koleza na wino
oooh. ..
Ya halaiki yasikushawishi
yakaja ya insta ukazidi tamaa
Usijepata maradhi ya moyo
mmmh
siku nyingi si kula
tumekungojea na simu
wazazi nyumbani wanapiga swala
Hali yetu s'nadhifu
majirani all along
wamezidisha na wivu
twakesha kuswali Kila kukicha dawn
Yatusikilize mbingu aaaah. ..
[Sina chochote Cha kulisha Wana. .
na, nikijapata nitamridhisha baba
usichoke we zidi ng'ang'anaa
[Sina chochote Cha kulisha Wana. .
na, nikijapata nitamridhisha mama
usichoke we zidi ng'ang'anaa