Nina Mungu ft. Liddy Ray, Sidiko & Mr.Bicky Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nina Mungu ft. Liddy Ray, Sidiko & Mr.Bicky - Alphanny
...
usiogope maana mimi niko nawe
usifadhaike maana mimi ni Mungu wako
nguvu nitakutia , nitakusaidia, nitakushikilia na mkono wangu
kwenda kushoto kulia nitakutangulia
kama mboni yangu
sina and wasiwasi nawe nakuamini, ninaimani tele na wewe wa thamani
sina wasiwasi nawe nakuamini, unanipenda hata kama sikustahili
Mimi Nina mungu na sina wasiwasi naye×2
mwenzenu Nina baba na sina wasiwasi kamwe×2
amenitoa chini akaniweka juu akanitoa juu akaniweka juu saana
Nina mungu na sina wasiwasi naye×2
upon your name Adonai
l lift you name to the high the Lilly of
is you we know,
the father of the living and non living
I take you by my side
dunia ikatae, mbingu zikatae
I stay by your side
sikiza nikwambiie sofa za kifalme za mwanakondooo
duniani alishuka sifa zikabaki tangu kitambooo .,, umenijaza maneno mistari kwa moyo, naimba kwa wiimboo aah
mengi yake matendo tangu Batimayo hata Leo badoo
huyu Mungu ni pendoo, ani
fariji kwa gongo na fimboo, yaani kama mtindoo ananilinda leo jana na before×2
huyu Mungu kanichukua chukua chukua
kanifunza mazuri mi namtambua
mtegoni kanitegua tegua tegua yaani aya sioni mi namsifia
lemme tell you a story ii tena ngorii, nikiwa down nilitumia koroboi, maisha hoii ya uchokozii, majirani kunibeba ka mtoi ×2 Eeeieee
chorus.. ....... .......... ........ . ., .. .... ......... . .. . ... ... .... ... .. . ... .. . ...... . . .. ... . . ... .. .... . . . ... .. ..?.... .... .. .... . .....
Amenitoa chini akaniweka juu akanitoa juu akaniweka juu sana Nina Mungu na sina wasiwasi naye (huyu Mungu jamaani)
mimi Nina Mungu na sina wasiwasi naye ( huyu Mungu jamaani) ( huyu Mungu waanguu , yaani ni mtetezi)
mwenzenu Nina baba ( sina wasiwasi) na sina wasiwasi naye ( siinaa wasiwasi) (aaii yoyo)
amenitoa chini akaniweka pahali pa heshima huyu babababababababababa