SITAKI MAPENZI Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2023
Lyrics
SITAKI MAPENZI - Noble Afrika
...
VESRE 1
HELLO DJ shikilia iyo beat kabisa
staki Rnb mi nataka kukatika
maisha ni mafupi mi staki mashida
mtoto wa mchungaji leo ngwai imeshika
staki hawa madem niongezee pombe
siongezi soda nataka iwe konki
niache mwenyewe usinipe maoni
sivunji sheria so usilete izo warning
chorus
I just wanna party alone ( party alone)x 4
STAKI MAPENZI
MI STAKI MAPENZI TU 3
VERSE 2
Nishazima simu nikatupa
nataka mniache mi ni deal na mimi
self love weh unadhani ni nini
kwani nyie madem mtanitesa hhadi lini
hii pombe haijam , pombe hainuni
inanipa furaha , hainipi uzuni
napata amani wala kichwa hakiumu
staki madem hata waniite muuni
Chorus
i just Wanna party alone ( party alone )x 4
STAKI MAPENZI
MI STAKI MAPENZI TU x3