Utanikumbuka (feat. Sonny fleva) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Utanikumbuka (feat. Sonny fleva) - insect made it
...
Oh lalia lia aaah insect made it haaaah aaaanh aaanha aaanha aaanh
Dalili zilionekana tangu mwanzo dhahili mapenzi ukaya weka kando
Niliyo tabiri penzi langu kwisha mama alfajiri ukavifunga navirago
hali yangu sio shwari (sio shwari) uliyo tenda nihatairi (hatari) aanh nimekubali kuya beba yote
Nasari usiku kucha bila kuweka nukta nikikumbukaa nalia jamani nasari usiku kucha bila kuweka nukta nikikumbuka nalia jamani
Atanifariji mama kwa machugu yangu nilijitahidi wenda hukua fungu kangu
nilisha mcheat ashura kipenzi changu licha ya dhiki alikubali madhaifu yangu ona sasa yeye ye
Utanikumbuka
uta
Utanikumbuka
uta
Eh
Utanikumbuka
utaa
Utanikumbuka
utaa
Onana na nana
Utanikumbuka
Utaa
Mmh mmmh mmmh mmh mmmh
Unatamani urudi haiwezekani yani
Ulicho fanya makusudi haiwezekani yani
Ulivyo kosa aibu yandani hadharani
Nilisha kufuma ndani nakijana flani
Penzi huku jali
Utokee now
Utokee now
Aku sijali
Utokee now
Utokee now
Ukawafwata wenye mali
Utokee now
Utokee now
Mie kando hukujali
Utokee now
Utoke now
Atanifariji mama kwa machugu yangu nilijitahidi wenda hukua fungu kangu
nilisha mcheat ashura kipenzi changu licha ya dhiki alikubali madhaifu yangu ona sasa yeye ye
Utanikumbuka
uta
Utanikumbuka
uta
Eh
Utanikumbuka
utaa
Utanikumbuka
utaa
Onana na nana
Utanikumbuka
Utaa
Mmh mmmh mmmh
Mmmh mmmh mmmh
Insect