Kidonda Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Kidonda - Africaner MB
...
D_.....d_weed...................
........
Dunia Ina mambo mengi na yote kuyajua siwezi
Naishia kulalama sababu nimkosefu wa vingi
Aaaaaaaaah najua
Hakuna mkamilifu kwani tumeumbiwa dhiki
Licha yakumpa kile Atakacho
Kumbe ye aridhiki...
Penzi likaingia dosari
Na kwa mtazamo wa picha navyoiyona
Imefika mwishoo mwishoo kabisa
Ukajitia hodar
kunifanya ka mtoto kunidekeza
Ukalishusha thamani
Penzi ukaligawaaa
Bridge
Pesa kwa kibubu
nikahisi zangu nimeifadhiwaaa
Ukanigeuza kibudu
Kama mzoga sifai hata kuliwa
Chorus
Niko tetele tetele tetele tetele
Naumia na moyo wangu
Niko tetele tetele tetele tetele
Nauguza kidonda changu
Vers 02
Wololo aaaah eeeeeeh
Yani kama vitani
Umenitoa mhanga Mi nakufaaa
Niko mashakani tafarani mi najutaa
Umepoteza upendo Aman kabisaaaa
Chuki na maskendo hadharani Umenianikaaa
Yale maumivu yananitesa tesa kwa ndani
Kisa wivu nalilia penz langu jamani
Bridge
Pesa kwa kibubu
nikahisi zangu nimeifadhiwaaa
Ukanigeuza kibudu
Kama mzoga sifai hata kuliwa
Chorus
Chorus
Niko tetele tetele tetele tetele
Naumia na moyo wangu
Niko tetele tetele tetele tetele
Nauguza kidonda changu