![Nakutegemea Baba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/10/12c32cf4bad9486ab4d12d54bf39f058_464_464.jpg)
Nakutegemea Baba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Nakutegemea Baba - Yona Chilolo
...
instrumental..
baba baba baba baba ×4
(baba yangu baba, kweli baba)
nakutegemea baba!
(baba, baba, baba)
unipiganie mimi
(baba,baba,baba)
adui wananiwinda
(baba,baba,baba)
wanataka kunimeza
(baba,baba,baba)×2
instrumental
wamejipanga kila kona wanataka kunidhuru
wanatamani tukionana niwe nakosa uhuru
hata nifanye jambo jema Sina wakunishukuru
wangemiliki amani yangu ningelipia ushuru
ahsante mungu umenipenda ukanipa uhuru
furaha yangu ninaipenda sitishwi na majungu
ninakushukuru mungu wewe hauna mafungu
ukitaka kubariki hauzuiwi na mtu
ninakushukuru mungu (wewe) hauna mafungu
ukitaka kubariki hauzuiwi na mtu
(uuuuuuh)
Chorus×2
wengine wakubwa kuliko mimi ila hawajiamini
wabatumia kila njia ili nianguke chini
hiki kibali ulichonipa kinawatoa ulimi
hawatamani kuona hata ninatangaza injili
nipe ulinzi kama daudi nilinde kama yabesi
unibariki kama suleiman ili wakome ubishi
nipe maono kama yusuph niwapunguze uzushi
wakinitupa mashimoni niibukie bungeni
oooh niwe kama Daniel kwenye shimo la simba
nisiungue kwenye moto kama vijana watatu
nipe magari mengi mengi ili niwape lift
nipe viwanja na majumba ili wanilipe kodi
nipe na pesa nyingi nyingi ili niwakomeshe wazushi
wakonikopa wasiponilipa niwapeleke polisi
sitawafunga ila nataka waijue kanuni
kutoka chini kwenda juu sio kazi rahisi
kutoka juu kushuka chini hilo ni jambo jepesi
acha kiburi ukishapewa usilete jeuri
aliyekupa wewe atampa na yule
aliyekupa wewe atamwinua na yule
ninakushukuru mungu wewe hauna mafungu
ukitaka kubariki hauzuiwi na mtu
ninakushukuru mungu wewe hauna mafungu
ukitaka kubariki hauzuiwi na mtu
(uuuuh!)
mbona wamejipanga
(baba,baba,baba)
wamefanya mapatano
(baba,baba,baba)
Tena wamejifunga
(baba,baba,baba)
wamefanya makubaliano
(baba,baba,baba)
wanataka kuniua
(baba,baba,baba)
baba yangu baba
(baba,baba,baba)
unipe ulinzi baba
(baba,baba,baba)
baba yangu baba
(baba,baba,baba)
Sina mwingine baba
(baba,baba,baba)
baba yangu
oooooh, oooh
chorus×2
instrumental