Niache Nidange Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Niache Nidange - Fabi
...
Aaaaaah
Ivi mnajua shida inaanzaga wapi
Maana najua nimepangwa kama mshikaki
Sijui niache nitafute hela
Ivi mnajua shida inaanziaga wapi
Au ndo juju ilo
Nshalengwa na manati
Haya mapenzi mbona yataniua
Kwanza sina hela
Onanahaa
Hata nikiwa nayo me naichungulia
Usawa huu nikupe buku
Labda niwe na akili za kuku
Nimeyafungasha matela
Onananaa
Kukaa na babe mmoja me siwez kabisa
Mi ninajijua navopenda vichuchu
Leo mwajuma kesho nipo na zuchu
We niache nidange tu
Niache nidange
Niache nidange bwana
Niache nidange tu
Niache nidange
Niache nidange tu
We niache nidange bwana
(Instrumental)
……
We niache nidange tu
Eeeeh
Niache nidange
We niache dada
Niache nidange bwana
Ooonah
Niache nidange tu
We niache nidange
…..
Niache bwana