Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Tumaini la Wazazi - Robert Thadeo

...

Tumaini la Wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Yanaumiza moyo

haya mambo

kama hujayafikiria

yanachosha sana haya mambo

huwezi hata kuyavumilia

unamtengeneza mwanao

ili aje kukusaidia

kwa maisha yako yajayo

wengine wanamchezea

Yanaumiza moyo

haya mambo

kama hujayafikiria

yanachosha sana haya mambo

huwezi hata kuyavumilia

unamtengeneza mwanao

ili aje kukusaidia

kwa maisha yako yajayo

wengine wanamchezea

Mwanangu nenda shule ukasome

ufaulu faida tuone

ya Mungu ni mengi pengine

ajira utapata tupone

mwanangu nenda shule ukasome

ufaulu faida tuone

ya Mungu ni mengi pengine

ajira utapata tupone

Tumeuza mashamba

tukauza migomba

na yule mbuzi wa baba

naye tumemkumba

Tumeuza mashamba

tukauza migomba

na yule mbuzi wa baba

naye tumemkumba

Tumaini la wazazi liko wapi

Tumaini la wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Wakifika shule wanajisahau

kwamba baba na mama wanataabu

wanaanza starehe wanasahau

wanasahau

Wakifika shule wanajisahau

kwamba baba na mama wanataabu

wanaanza starehe wanasahau

wanasahau

Katika masomo ndugu zangu

shetani anapakazia macho

maana hata wana wa Mungu

wakifikako wanafumbwa macho

Katika masomo ndugu zangu

shetani anapakazia macho

maana hata Wana wa Mungu

wakifikako wanafumbwa macho

Wanajiunga makundi ya hasara

wanasahau kwao kuna njaa

wengine kwa kukosa busara

ni wanafunzi wanawapa mimba

haijatosha kunawashirikina

wanasubili siku za pepa

mtoto aliyekuwa ni nyota

haoni tena moja mbili wala a

Tumaini la wazazi liko wapi

Tumaini la wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Tumaini la Wazazi liko wapi

Mshike sana elimu usimwache aende zake

Maana yeye huyo ndiye uzima wako

Mtoto mwenye hekima hutunza wazazi wake

bali mwana mjinga huwa mzigo kwao

Mshike sana elimu usimwache aende zake

Maana yeye huyo ndiye uzima wako

Mtoto mwenye hekima hutunza wazazi wake

bali mwana mjinga huwa mzigo kwao

Mshike sana elimu usimwache aende zake

Maana yeye huyo ndiye uzima wako

Mtoto mwenye hekima hutunza wazazi wake

bali mwana mjinga huwa mzigo kwao

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status