Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Niko juu ya Biz

Kamsomali kule Eastleigh

Blood Sweat Tears, boss, na misilii

Hata Miss haaniachiliii

Juu napiga weka hadi anasema Pliz boss I gat 2 pee

Kisha na wikaa UGH kama Masta P

Hio ndio siri ya kuiishi happily

Weh uko heppi kama hippi

Kwa club yes, Absolutely

Na hio vodka imefanya umefuliza uka chokorwa

Pochi POOF umeporwa

Ndio huyo wewe kwa madhee eti nimerogwa

Unafaa Kibarree ya TB Joshua

Pengine hizo Shetani zitakutoka

INJINIA kwa mic check na nimeondoka

MANDONGA


Niko na keys to the city

Mazee huskii naitwa Wakili

Cheza nami si shikiki

Mi na ma chiz tumewasili

Tuchape bizz sifilisiki

Ingiza ma cheese ndo Riziki

Ona mageez kujiamini

Kutatiz serikali kula mandiz ina madini

Usijibiz ukiwa na mimi

Mandonga deez nuts kelele

Lakini pigwa plow na mgenge

Naleta chira kwa wasenge

Napea mimba kwa wangede

Naelea kaa upele

Hutawai kuwa ready

Hutawai kuwa steady

Niogope kama Freddy

Juu nakam hiyo Friday

Ntakuhuslte kama pedi

Hutajigamba on my payday

Niko na keys to the city

Cheza na mi sishikiki

Mi na ma chiz tumewasili


Heavyweight kwa streets Mandonga

The beats! Bado shit nita bonga

Punchlines deadly soaked in the illness

Breeathe, daktari na stethoscope

Dope money na power nina both

If lyrics make sense! Mbona Uko broke

Your chic, Saxophone for deez nuts

Tarumbeta straw na flute hahaha

Clifford Ombeta I draw and shoot

Across the bar bila was was

Dirty money ME siko wash wash

Ambia DJs ME Babu Owino

Yooooh my record better spin off

If not nakung'oa hadi jino

I'm a dick head nickname kiino

The one, tripple O G niite Kilo

Chairman, Barzenga Mzito

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status