Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Baba mtoto wako ninayo furaha

Uliyemtuma kanipa uzima

Si mtumwa tena ni huru kabisa

Msalaba asili ya mema

Sikukamilika, kanikamilisha

Sikuwa huru, kaniweka huru

Sikuwa mtoto wake, kaniita mwana

Nilikuwa na dhambi, amenipa haki

Baba wa milele

Upendo wako waniunguza

Baba wa milele

Upendo wako pumzi yangu


(Sikuwa) Sikuwa na maisha kabla

Amenipa uzima wake

Milele

Sikuwa na maisha kabla

Amenipa uzima wake

Milele


Mpango kamilifu wa Mungu kwetu

Tuwe na uzima wake, tusio na hatia mbele zake

Ukamilifu wake ndani yetu watoto wake

Matokeo ya kazi bora kamilifu ya Yesu Bwana wetu

1 Yohana 4:9

Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu,

Kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni

Ili tupate uzima kwa yeye


Sasa sina hatia sina mashitaka

Si laana mimi mbarikiwa

Macho yangu yamefunguliwa

Kiumbe kipya

Sasa sina hatia sina mashitaka

Si laana mimi mbarikiwa

Macho yangu yamefunguliwa

Kiumbe kipya


(Sikukamilika, kanikamilisha) Kanikamilisha

(Sikuwa huru, kaniweka huru) Kaniweka huru

(Sikuwa mtoto wake, kaniita mwana wa pendo lake) Kaniita mwana

(Nilikuwa na dhambi) Amenipa haki


Baba wa milele (Baba wa milele yeah)

Upendo wako waniunguza (Upendo wako wa ajabu)

Baba wa milele (Baba wa milele, eh baba eh baba yeah)

Upendo wako pumzi yangu

(Pumzi yangu yeah, so sikuwa)


Sikuwa na maisha kabla (Na maisha, akaja Yesu)

Amenipa uzima wake (Yeah, ameniokoa)

Sikuwa na maisha kabla (Na maisha, kwa kazi ya msalaba)

Amenipa uzima wake (Wake, sikilizeni furaha yangu)

Sikuwa na maisha kabla (Na maisha, Mungu ni pendo ooh)

Amenipa uzima wake (Wake, sikilizeni habari njema, njema)

Sikuwa na maisha kabla (Huyu baba wa milele, wa milele)

Amenipa uzima wake (Oh yeah)


Amenipa (Bure bure)

Amenipa (Milele yote)

Amenipa (Amani, furaha yake)

Amenipa (Uzima, upendo wake)

Amenipa uzima wake milele (Kaniweka huru, kaniweka huru, nina furaha)

Amenipa amani yake milele (Nina uhakika, yeah, hakuna mwingine angeweza)

Amenipa upendo wake milele (Hakuna mwingine angetoa uhai wake kwa ajili yangu, ahsante kwa upendo wako)

Amenipa uzima wake milele....... (Milele.... Ooh)

Upendo wako waniunguza

Baba wa milele

Upendo wako pumzi yangu

Hakuna hukumu ya adhabu juu ya hao walio katika Kristo Yesu

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status