camilla Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
aaah aah aaah
i'ts kdee baby
leo umekua wangu siamini
to be with you was not so easy
Najihisi mwenye bahati uko nami
i go give you whatever you need
na kama ni mapenzi
nahisi kama nimeumbiwa mimi na wewe
kukucheat siwezi
mi kifaranga we kuku nilinde na mwewe
kama ukiniacha ntaumia
ukiondoka ntalia
chonde usije nikimbia maradhi ya moyo ntaugua
maneno ya watu sumu
sumu yanaumiza roho
usije kunihukumu
utanipaga jaka la roho
camilla camilla
don't let me go camilla
camilla camilla
don't let me go camilla
camilla camilla
don't let me go camilla
camilla camilla
don't let me go camilla
Mbalamwezi inang'aa
ishara ya upendo makopa kopa hewani
usije siku nikataa ntakosa furaha utaninyima amani
jichunge mama heshima zawadi aliokupa maulana
wapende wazazi wangu
muheshimu mama wako nawapenda sana
huba analonipaa
nikimuacha dhambi ata Mungu ananiona
watoto mwisho saa sita nalishwa vitamu
urojo urojo nyama choma
kama ukiniacha ntaumia
ukiondoka ntalia
chonde usije nikimbia maradhi ya moyo ntaugua
maneno ya watu sumu
sumu yanaumiza roho
usije kunihukumu
utanipaga jaka la roho
camilla camilla
don't let me go camilla
camilla camilla
don't let me go camilla
camilla camilla
don't let me go camilla
camilla camilla
don't let me go camilla
camilla camilla camilla camilla
camilaaa aah camilla camilla
don't let me go camilla
let me go camila
i said don't let me go camilla
let me go camillaaaah