TULIA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmh, Nimeona ukitengeneza njia, nikaona ukiponya wangonjwa eeeh!!
walitaka kunidanganya wakakuja kunikanganya, walitaka kunidanganya Hahaa"!! wakwende wao,,
Nitaganda kwako mwokosi hata liwe liwalo ya dunia ni mapito yatakwisha tuu!!,nitasimama nawe Baba, Baba yangu hata waseme niniee..,usemalo Mungu wangu nalifanyike duniani na mbinguni nalitimizwe,, usemalo Mungu wangu nalifanyike duniani na mbinguni nalitimizwe,..
Kwako sitaa...chorea , chorea, oooh!! siwezi chorea chorea,
Kwako sitaa..!! chorea chorea, Mimi..!! siwezi chorea chorea...
Staki niwe kama Petero Mungu nikugeuke tena kama Lazaroh umenifuu...,umenifufua Bwana, mbele ya watu umeninuu.., umeninua Bwana...,sasa naitwa mbarikiwa, mbarikiwa, mbarikiwa...,
Kwako staa..!! chorea chorea oooh!! siwezi chorea chorea
Kwako staa..!!chorea chorea mimi siwezi chorea chorea.