Mtoto Wa Kisomali Lyrics
- Genre:Taarab
- Year of Release:2014
Lyrics
Mtoto Wa Kisomali - Pwani Sound Modern Taarab
...
macho yangu yameona mzuri aaloubika
nimemuona kimwana mfanoo ya malaika(2)
nimeapa Hali Sina kwake nimesharidhika (2)
mtoto nilomuona moyo wangu umetosheka(2)
oooooo mtoto wakisomali
mienedo ya kiasiri
alieubika kikweri amenirusha
akiriiii
nisemayo si utani ameubika mwenzangu
macho yake yalaini emeuba bwana mungu(2)
kimo chakee wastanii natamani awee wanguu(4)
si mtoto wa kisungu. 4
oooooo........ chorus
nisemayo mwaasikiia,wasee ata vijana ni mrembo somalia mwingine sikumwoona(4)
nashindwa LA kumwaabia ngali
na mpenda saana(2)
mtoto kiguu Na njiaa nateseka waangwana(2)
oooooo......
hakifichiki kiliioo Kwa sababu ni mapenzi
wateseka wangu moyoo natamka wasiwasii
moyo wangu weeda biyoo, kuvuzuia siwezii(2)
ni ya kweri nisemayo, nahangaika kisenzii(2)
oooooo......