Dhambi inatesa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mungu kamuumba Adamukamweka edeni ili atawale
akampa msaidizi Hawa wailinde na kuitunza Edeni
(bila dhambi ni furaha ,kila kitu ni faraja aah simba alicheza na swala maisha kabla ya dhambi)x2
chorus
Dhambii inatesa,dhambi inaua x2
Dhambi itakupa raha kwa mda kitambox2
Shetani mwenye hira kaingia edeni,
kamdanganya Hawa wale lile tunda aah la ujuzi wa mema na mabaya
eti wawe sawa na Mungu wao ,
(tunda lile lavutia ,lapendeza macho ooh Hawa akalichukua kala kampa na mumewe)x2
chorus
Dhambii inatesa,dhambi inaua x2
Dhambi itakupa raha kwa mda kitambox2
Ukianza inaonekana tamu ,ili mwisho wake ni mateso
ukianza unahisi waweza acha ,lakini kumbe shetani anakuteka
ebu mkabidhi yesu maisha yako