Mvumo wa radi cover Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mvumo wa radi cover - Sole boy
...
Yooooooooh
Ahaa
This is Soleboy
We are always pop to the top
I go by the name Soleboy009
Adam and Faustin
Ahha
Naanza na hii, sifa yangu mkweli
Misifa mingi na ukwezi, mi sina makuzi
Ntakupenda wewe
Ntampenda mama
Na baba yako
Na ndugu zako
Ntakupa mapenzi mimi
Wamvungule mvungule
Hujawahi pewa
Wamvungule mvungule
Nataka wasikie
Wamvungule mvungule
Kwa mvumo wa radii
Yooohp
Tatizo lako sheri
Unanistaajabishaga
Unavyonipendaga kweli
Roho inaniuma
Wivu naona
Mi Soleboy
I'm in love wewe
Nampenda sana
Tupendane
Tupendane penzi liwe sawa sawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo nyingine yende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa
Tupendane kama mabata na mamba(na mamba
Na siku zote tuishi kwa furaha
Tupendane ba kongo, tanzania
Uganda, kenya
Burundi na Rwanda
Na Zambia mpaka
Mozambique Ghana mpaka Nigeria
Cameroon
Sudan mpaka Somalia
Africa Africa nzima tupendane
Tupendane
Tupendane penzi liwe sawa sawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo nyingine yende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa
Tupendane kama mabata na mamba(na mamba)
Na siku zote tuishi kwa furaha
Oooeeeeh
Tuishi kwa furaha
Tupendane
Uwe wangu wa moyoni
Ukisikia homa ile homa ya jiji ni wewe
Wanajiita ma sponsor my love
Wasikuzingue
Wanajiona ma bosslasy
Maboss baby
Tena wife material my honeybunny
I never knew we unabana
Wengine wote wanaachia yaah
Wamvungule mvungule
Wamvungule mvungule
Tupendane
Tupendane penzi liwe sawa sawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo nyingine yende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa
Tupendane kama mabata na mamba(na mamba)
Na siku zote tuishi kwa furaha
Soleboy