Loading...

Download
  • Genre:Alternative
  • Year of Release:2022

Lyrics

Muite Yesu - MAGENA MAIN MUSIC MINISTRY

...

Maria na Martha wakaanza safari kuelekea kwa Yesu,

wakampasha habari, mwendani wake lazaro anaugua sana....

lakini Yesu, alichelewa kufika pale....Lazaro aliaga huzuni na kilio zilitanda kwa kumpoteza mpendwa wao

lakini Yesu, alipofika mambo yalibadilika......×2

Muite Yesu Leo....,amini atatenda

hajawai chelewa atatenda kwa wakati wake mwenyewe.....tua mizigo yote kwake..usilie kama wasio na imani ndugu

kwenye giza yeye ndiye mwanga , hakuna magumu kwake usikate tamaa mwamini Yesu....×2

...............

Pengine umesumbuliwa na magonjwa saanaa..karibu wakata tamaa..dada umetafuta mtoto..usikate tamaa,

kijana umetafuta ajira usikate tamaa

mwamini yesu..tena kwa maombi tua mizigo yote kwa Yesu, atakujibu.....

Pengine umesumbuliwa na magonjwa...

dada umetafuta mtoto...

kijana umetafuta ajira usikate tamaa mwamini Yesu..tubu kwa maombi, tua mizigo yote kwa yesu, atakujibu....

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status