Drip Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Drip, wabaki wameita maplumber
Chini A1's juu ni jacko ya pamba
Fine, nimefall in love na ganja
Mi ni dealer na bado nawakunywa ka fanta
Drip, wabaki wameita maplumber
Chini A1's juu ni jacko ya pamba
Fine, nimefall in love na ganja
Mi ni dealer na bado nawakunywa ka fanta
Mi ni dark nigga na maluxury taste buds
Bitch nigga unahate na ati bado uko low class
Magizani nikichanga za doha
Ikigo through basi ni hawaii aloha
Madeal ndogondogo ndo hulipangwa na paypal
Na biz ka ni chafu jua ikona the paper
Na umengoja sana umegeuzwa waiter
Maryjane zikinyanya nisione mahater
Monalisa, photo mister
Combination nayo ni beautiful picture
Tukiseti si huseti tu mambichwa
Cheza ka the dealer wakislide karibisha
Hare krishna, certified freak star
Ka ni kwa mastingo umepata adi teacher
Sit back, niitishe kingfisher
Hakuna za maquora ni mizinga ka sita
Drip, wabaki wameita maplumber
Chini A1's juu ni jacko ya pamba
Fine, nimefall in love na ganja
Mi ni dealer na bado nawakunywa ka fanta
Drip, wabaki wameita maplumber
Chini A1's juu ni jacko ya pamba
Fine, nimefall in love na ganja
Mi ni dealer na bado nawakunywa ka fanta
Sijasota ni ati pori ndo ndogo
Wahenga walidai dawa ya ngori ni zogo
So niko stone cold kama Demi Lovato
Siko mboka, bado mi nakula mapato
Hustle nimepiga nimeuza adi macorte
Ndo baraka za G nizipokee
Sato kujificha ni sherehe kwa machoche
Sunday pale Citam nikisema gai woishe
Yoo, dreams ni one perception
Na bag mi nachase adi bila connection
Kuchase bitch zii path ya bag ni moja
Mi namove tu foward jo ki one direction
Na fom ikijipa mi naattract madiva
Na liquor, mi nakiss bitch kwa giza
Na bado nikiholla ni ati wanamwagika
Mi ni dealer kwa pori siezi hata mamita
Drip, wabaki wameita maplumber
Chini A1's juu ni jacko ya pamba
Fine, nimefall in love na ganja
Mi ni dealer na bado nawakunywa ka fanta
Drip, wabaki wameita maplumber
Chini A1's juu ni jacko ya pamba
Fine, nimefall in love na ganja
Mi ni dealer na bado nawakunywa ka fanta
Madame wamechrome wanadai whenever
Wherever alafu twende tufanye whatever
Ju mi hupiga scene ka morio anzenza
Si unajua ka ni ass ni the bigger the better