Siwazi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Siwazi - Lomodo
...
Mwenzenu nahema juu juu
Nahisi ni pumzi ya mwisho nikate roho (nikate rohoo)
Yamenikuta makuu
Hayabebeki mazito mazitoo
Nakama kupendana ilikuaga zamani
Sikuhizi kupenda tena mimi kumepitwa na muda
Yanini kugandana gandana michezo ya kizamani
Sikuhizi ukinipenda tunaenjoy kwa muda
Niliwapa moyo wakacheza nao kwenye mitalo
Waliniacha dolo sitamaniki nimekua kiporoo
Sikuhizi wananiita kipanga sichagui nyama
Awe wa chui au tembo wote nakulaga
Ah yani wananita kipanga sichagui nyama
Awe wa mbuzi au simba wote nakulaga
Mwenzanu ata siwazi siwazi
Yani siwazi naenjoy kua peke yangu
Mwenzanu ata siwazi siwazi
Yani siwazi naenjoy kua peke yangu
Sikuhizi stress sina naenjoy
Eti bila usiku mwema hutoboi
Eti baby hujakula mi sinaga hizo
Zangu mitungi na nyasi
Na mademu wakupigia mikasi
Mi sijali ukinipa nafasi nitakuumiza moyo
Niliwapa moyo wakacheza nao kwenye mitalo
Waliniacha dolo sitamaniki nimekua kiporoo
Sikuhizi wananiita kipanga chagui nyama
Awe wa chui au tembo wote nakulaga
Ah yani wananita kipanga sichagui nyama
Awe wa mbuzi au simba wote nakulaga
Mwenzanu ata siwazi siwazi
Yani siwazi naenjoy kua peke yangu
Mwenzanu ata siwazi siwazi
Yani siwazi naenjoy kua peke yangu