Usijikatae Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
iiiiiiii-iiiiii eeeeee eeeeeeh
uwoouh ooow
Muuuungu haumbi kwa makosa iyee
Na hata ulemavu si sababu yakukutesa wee
Uwe (yeh) uwe uwe
Niiiiini ni kisa na mkasa iyee
Unapojidharau jua unafanya kosa wee
Oouh eyeyeeh
Okay wapo walopendeza
Na tunaona kweli wanapendeza
Mungu amewatengeneza
Ni kwa udongo uleule
Alioutumia,
kubumba-bumba na kukutengeneza weeewe
Alotumia,
kubumba-bumba na kukutengeneza weeewe eeeeeh
Heiyeeiiii
Na siku zote usipojikubali wa kukubali imani yako hayupo
Maana tayari umeshadharau mikono yake aliye kuumba hivyo
Itakuponza tu aibu ya kujikataa uko
Hata ukifanya hivyo jua haujatatua tatizo
We jikubali
Usijikataaaeee, usijikatae
Usijikataaaeeee
Usijikataaaeee, usijikatae
Usijikataaaeeeee
Heka hekaaaaaaaaaaah haa
Uuuuuuuuuuuuuuuuwh
Ukisikia kejeliiiiii
Funiiika zooote ziiiima motoooo
Ilimradi huda deniii iiii
Mwambie Sir God-iiiiii
Yooote uuutimiiize ndotoooo
Hakuna geeeniii iiii
Changamo - to - huwaga zipo
Natunaishi nazo kama mizigo mmmh
Ila zina kikomo
We tembea nazo nenda ivo ivo
Achiiiliaaaa haaaa
Yale wanaaasemaaagaa
Hata waku - discuss, usipunguze kasi weeee
Utaumiaa aaeeee
Tambuaaa ipo sabaaabu
Kasoro yako sio adhabu
Uuuuuuuuuyeeeeeah
Itakuponza tu aibu ya kujikataa uko
Hata ukifanya hivyo jua haujatatua tatizo
We jikubali
Usijikataaaeee, usijikatae
Aaawh aaw eeeyee
Usijikataaaeee (Yani hivyo ulivyo ndivyo ulivyopaswa kuwaaaaaa)
Usijikataaaeee, usijikatae
iiyee
Usijikataaaeee(maana huwezi jua pengine ungekuwajee heee eeeh)
Eeeeeee heeeeeeeeeeiiiiiiii iiiii
Usijikataaaeee eee
Mungu anakwamini we usijikatae
Aaaee usijikatae eeee.