Amkeni Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Amkeni - Sda Choir Sakina
...
Amkeni watu wote hakika msilale usingizi
mchana umekaribia sana ,msilalee amkeni
mchana umekaribia sana ,msilale amkeni
Amkeni watu wote hakika msilale usingizi
mchana umekaribia sana msilale amkeniii
mchana umekaribia sana msilale amkenii
Pambazuko,
pambazuko limeshafika amka ndugu usilalee, inua macho kwake Yesu ya dunia yatatoweka.
pambazuko,
pambazuko limeshafika amka ndugu usilalee inua macho kwake Yesu ya dunia yatatowekaa.
Tokeni kwake huko Babeli wakati umewadia
mwana wa Adamu anaporudi msilale amkeni
mwana wa Adamu anaporudi msilalee amkeni
Tokeni kwake huko Babeli wakati umewadia mwana wa Adamu anaporudi msilale amkeni
mwana wa Adamu anaporudi msilale amkeni
Pambazuko,
pambazuko limeshafika amka ndugu usilale inua macho kwake Yesu ya dunia yatatoweka
pambazuko,
Pambazuko limeshafika amka ndugu usilale inua macho kwake Yesu ya dunia yatatoweka.
Dunia hii itatoweka kabisa
mambo yake yatakoma
kimbia tokeni huko Babeli
msilale amkeni
kimbia tokeni huko Babeli
msilale amkenii
Dunia hii itatoweka kabisa
mambo yake yatakoma kimbia tokeni huko Babeli msilale amkenii
kimbia tokeni huko Babeli msilale amkenii
Pambazuko,
pambazuko limeshafika amka ndugu usilale inua macho kwake Yesu ya dunia yatatoweka
Pambazuko,
pambazuko limeshafika amka ndugu usilale ,inua macho kwake Yesu ya dunia yatatoweka
pambazuko,
pambazuko limeshafika amka ndugu usilale,inua macho kwake Yesu ya dunia yatatowekaa