Rada Chafu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Swaga safi ni versace twende loco mi nasachi
Swagi zao ni ma kaki gari yangu si matatu
Rada safi ni medusa tikitaka ni sambusa
Pesa zangu mi nanusa rada chafu nikiguza
Ngoma zangu mi nauza bora sembe saka unga
Wacha uzembe piga lugha bao nane ka Olunga
Mistari zangu utadunga ngoma zangu zinadunda
Sura ngumu umenuna waresh wangu ni manguna
Tabasamu hii ni lugha
Rada chafu nikiguza
Tabasamu hii ni lugha
Rada chafu nikiguza
Niko hustle kilawiki niko choosy mi ni piki
Hizi level hamfiki nawapenda sina chuki
Fake friends wanafiki staki wengi niko fiti
Wasaliti kama juda watakutoka chunga buda
Mresh dope nitaunga mresh doh nitafunga
Hizo pingu tutafunga msupa unatoka runda
Figure noma ka ya hudah
Kayflame adeblichi flawless piga picha
Ps mi ndio ticha pinye mi ndio research
Young puffy mi ndio diddy ting badi gidigidi
Utadance jigijigi
Form zangu utajuta kimbelembele utaita
Ukicheki nikipita tuzo zangu ni lupita
Mtihani zangu nilipita
Moshi nyingi ni mavela
Wananyesha bila umbrella
Shika feelings kama dela
Nasaka shillings hadi hela
Msupa wangu cinderella
Toka ghetto ni nyalenda
Mark time bell ringer
Tangawizi kama ginger
Upuzi zenye za ujinga
Nawaroga si uganga black star kama ghana
Mi ndio neno uliza nganga kelele zengu ni panganga
Nawachosha ka wakanda designer designer designer
Cheza chini mi ndio panda kanyari mbegu nilipanda
Dishi zetu ni kibanda vilarosa kibandaski
Budesliga lewadoski
Bedroom hii ni artict deals zetu diplomatic
Tgang pacifistic nafanya daily optimistic
Hustle zangu ndio topic piga hesabu hizo logic
Marathon hii ni ndio jogging
Punchline hii ni boxing
Tabasamu hii ni lugha
Rada chafu nikiguza
Tabasamu hii ni lugha
Rada chafu nikiguza
Tabasamu hii ni lugha
Rada chafu nikiguza
Tabasamu hii ni lugha
Rada chafu nikiguza