MTAFUTAJI Lyrics
- Genre:Country
- Year of Release:2022
Lyrics
MTAFUTAJI - Pk Mr Konk
...
Nina amka
asubuh yoo
nakumbuka
nililala njaa
me Sina pesa sabun mfkon
ya
mkate wala y mkaaa
me naona bora niamke2
nakuzunguka nyuma y mtaa
ninawakut washkaj yoo wapo
kibao wamekesha baa wananuliz oya vp
ww mbona kama hauna laa
pk mr konk vp mbona hata ndala haujavaaa me nawajibu kwaunyonge xana
nina njaa wala xijala wananicheka
kinafki nanyanyuka nashindw kukaa
nikiwapiga moyo konde ipo xiku yang na me ntakua star
wananita mtaftaj
mtaftaj mtaftaj
mtaftaj mpk marik
mtaftaj mtaftaj
xina kaz me kaz yang kipaj
oh! jamani mwanang umemuona
ndugu lawama
wabishi mmemuona ndugu
lawama
wanangu mmemuona
ndugu lawama
wabixhi mmemuon ndugu laa
we kapita ndugu
lawama
ndugu lawama
ndugu lawama ndugu lawama
machiz bot
ndugu lawama ndugu lawama ndugu lawama ndugu lawama
twende pk nishaxem
w2 wote kimy ninayo
xema hapa yata mgusa mwenye
hekim hapo apo ulipo km unaipend pepo
kwnn uogope kifo eeh!
unachekexha daa!
unanipa laah au unazani
mbinguni utakwend kw moto kaa ama
utapata zali km yesu alivyo paah! pk Nina ndoto za kua supa star chajabu mpk leo
bado nashindia dagaa mzik
wa singel
pk ndy
nabii kwanza mm natunga
xkopi km nanilii
nikuulize
marik xiunamjua
nanii
nanii xindonanii
aliyeimba nyimbo ya nanii
mwambie ataimba
xana
pk anifikii
km unanichukia
ongeza bidii
ila ukinifatilia
ntakuja kuku nanii
wanang mzuk
umepand natak nicheze
goma
we mpk marik mwanangu analuka goma
we mzuk umepanda mwanang anacheza goma we maxixela wanang wanaluk
marik nipigie goma we piga
kigoma wenipigie goma
we piga kavip nipigie goma we piga we nipigie wepiga kigom oh! jaman
mtaftaj natafuta
na haxubui
xiku yakupat mwenzenu me xiijui
mtaftaj natafuta
mpk mchan
na kila day mwenzenu
me napamban
mtaftaj natafuta mpk
jioni lkn ki2 chochote me xikion
mtaftaj natafuta mpk usiku nikijixachi mfkon sin
wanangu naitafta xalali wanang xalali wabixhi xalali na mpk usiku xilal
me naitafta xalal mwanang xalal wabixhi xalali na mpk ucku
oh! jaman lkn nikiwanaz
kila m2 atajua
wabixhi nikiwa nazo kila m2 atajua
wanangu nikiwanaz kila m2 atajua
wabixhi nikiwa nazo kila m2 atajua
oh! jaman kila m2 atajua
kila m2 atajua
kila m2 atajua
kila m2 atajua